Mohamed Ali Pens Down An Up And Close Candid Letter To DP William Ruto

101
0
SHARE
Popular and leading investigative journalist Mohammed Ali,
sometimes referred to as Moha, is known and respected for his braveness in
exposing the evil deeds in the society.
His incredible and professional job in KTN as the host of Jicho Pevu is unmatched.  He has now gone international courtesy of Al
Jazeera.
A couple of weeks ago, he wrote a letter to decrying the
sycophancy and poor leadership exhibited by the likes of Moses Kuria and
Kipchumba Murkomen.
Recently, he decided to pen down an up and close candid
letter to the deputy president, William Ruto.
Take a look at how his letter begins:
BARUA KWA WILLIAM RUTO
Hujambo bwana kusema na kutenda. Naomba safari hii kabla hujatenda
nikujulishe mawili hivi. Najua huna raha, hupati usingizi na unahofia maisha
yako licha ya utajiri uliyonayo. Leo hii umejipata kubanwa na uliowaamini. Ndoa
za haraka na tama zina shida bwana Ruto. Ukipenda viazi usiogope mimba ndio
msemo wetu kule vilima vya raha. Ndoa yako na Uhuru Kenyatta imefikia kiwango
cha mtu mmoja kati yenu kupata mimba. Si mimba ya mtoto bali mimba ya machungu
na kusalitiana. Miaka ya nyuma kabla ya wewe kuwa HUSTLER wa kizazi kipya
niliwahi kukutembelea mara kwa mara katika afisi zako katika jumba la
Transnational. Tulizungumza na kutaniana na hata kuzungumza kwa simu. Ulikuwa
machachari na mtu wa watu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here