Willy M Tuva Exposed, See what he has been doing to local musicians

  3719
  0
  SHARE

  Willy M Tuva, who is one of Kenya’s biggest names in entertainment, television and radio presenter has been exposed by a bitter upcoming musician.

  Tuva who works at Royal Media and whose fame spans across the borders, is being accused of being a cartel with a few other radio personalities.

  According to the expose, Tuva is accused of being biased, corrupt and is killing massive talents in Kenya.

  Here is the full text:

  Dear Willy M Tuva.

  Mimi leo nasema wazi na siogopi mtu. One of the biggest enemies to our music industry ni huyu jamaa anajiita Mzazi Willy M Tuva.

  Mwanzo kabisa mtu nguyas tuelezane ukweli.Wewe si mzazi wala mlezi. you are just a notorius cartel who has made life difficult for other talented artistes.

  Tuva leo ntaongea na siogopi kitakachonipata mimi mbeleni.Nimekubali kuuwawa, kufungwa na hata kudhulumiwa as long as al speak my mind.

  Tuva wajifanya una roho safi sana tena wa kusaidia mawamuziki lakini ni kinyume. wakenya itabidi waambiwe ukweli leo. una tabia mbaya ya kulalia pande mbili za industry hii. hiyo ni mombasa na Tanzania.

  ningependa niseme wazi na si kwa kuogopa mtu ,kwamba jina langu liko katika black book chenu ambacho kimesambaa within your circle of fellow radio cartels ambao kamwe hawatawahi nicheza.

  Iwapo ntasema uongo mola anisamehee. kuna wakati niliachia kazi ikakufikia kisha mimi mwenyewe nikaona mafans wangu wametumana request nichezwe haukuicheza wala kusoma comment yenyewe.Hiyo inaonyesha upendelea.

  I know sijafika level ya Diamond platnumz ama Akothee ambao wameshinda wakikulipa ili uzidi kuwamarket, ila one thing you need to know is that the constitution protects us all.

  Radio Citizent imekuwepo before na itakuwepo baada ya Tuva. stesheni yenyewe si ya Baba Yako,Mama Yako,Mke wako ama jamaa zako. ni steshi ambayo wakenya wenyewe wameamua kusikiliza kwa hiari yao na kumbuka wasanii pia wanatoka katika jamii hizo.

  Im very much aware am not perfect .mie pia nina kasoro zangu lakini usije ukazichukua too personal.

  Kazi zangu na hata zile nimecollaborate na international artistes umekataa kuzicheza kwa madai sina heshima.Najua ! hahhaha kakangu sema sina hela hehe acha ku beat around the bush.

  Ningependa nikujulishe ya kwamba nitakuwa naachia kazi mpya ,nina email ya kwako ntatuma. naomba uicheze usikilize maoni ya wakenya kisha ikipendwa na wakenya ibaki kwa playlist na ikiwa haitapendwa please unaezaitrush na utupe CD kwa dustbin jinsi ambavyo umezoea kufanya.

  kumbuka na si kazi zangu tu,za wasanii wengine ambao majina yao yamo katika hicho blackbook.
  SIOGOPI MTU ! mNITUME KABURINI MKIPENDA !

  #KING_LANG
  #RELEVANT_DEEJAYZ_ENTERTAINMENT

   
  Image may contain: 2 people, indoor
  Mzazi Willy M. Tuva with Melody Sinzore and 3 others.

  Kutoka kwa jamii ndogo Ilchamus inayopatikana Baringo, leo Grandpa Records imezama na kukuibulia kipaji hiki ; Msikilize Thomas Naiweti kwenye Mambo Mseto – Radio Citizen #NaleaVipaji

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here